(Hekima ya ‘Abdu’l-Bahá)
Hotuba Zilizotolewa na Abdu’l-Bahá mjini Paris, Mnamo 1911 1912
Paris Talk
YALIYOMO
Ukurasa
- 1. Wajibu wa Kufanya Wema na Huruma kwa watu tusiowajua na Wageni (The Duty of Kindness and Sympathy towards Strangers and Foreigners)
- 2. Uwezo na Thamani ya Fikara Halisi Hutegemea Kudhihirika Kwake Katika Vitendo (The Power and Value of True Thought Depend upon Its Manifestation in Action)
- 3. Mungu Ndiye Tabibu Mkuu Mwenye Huruma Ambaye Pekee Hutoa Uponyaji wa Kweli (God Is the Great Compassionate Physician Who Alone Gives True Healing)
- 4. Uhitaji wa Muungano Kati ya Watu wa Mashariki na wa Magharibi (The Need for Union between the Peoples of the East and West)
- 5. Mungu Afahamu yote: Yeye Hawezi Kufahamika (God Comprehends All; He Cannot Be Comprehended)
- 6. Sababu za Kusikitisha za Vita, na Wajibu wa Kila Mmoja Kutafuta Amani (The Pitiful Causes of War, and the Duty of Everyone to Strive for Peace)
- 7. Jua la Ukweli (The Sun of Truth)
- 8. Mwanga wa Ukweli Sasa unang’aa Mashariki na Magharibi (The Light of Truth Is Now Shining upon the East and the West)
- 9. Upendo kwa Ulimwengu Wote (The Universal Love)
- 10. Kifungo cha ‘Abdu’l-Bahá (The Imprisonment of ‘Abdu’l‑Bahá)
- 11. Zawadi Kubwa Kabisa ya Mungu kwa Wanadamu(God’s Greatest Gift to Man)
- 12. Mawingu Yalifichalo Jua la Ukweli (The Clouds That Obscure the Sun of Truth)
- 13. Chuki za Kidini (Religious Prejudices)
- 14. Fadhila za Mungu kwa Mwanadamu (The Benefits of God to Man)
- 15. Uzuri na Upatano Katika Anuwai (Beauty and Harmony in Diversity)
- 16. Maana ya Kweli ya Unabii kuhusiana na kuja kwa Kristo (The True Meaning of the Prophecies Concerning the Coming of Christ)
- 17. Roho Mtakatifu, nguvu ya Kati Baina ya Mungu na Mwanadamu (The Holy Spirit, the Intermediary Power between God and Man)
- 18. Asili Mbili za Mwanadamu (The Two Natures in Man)
- 19. Kukua Kimwili na Kukua Kiroho (Material and Spiritual Progress)
- 20. Mabadiliko ya vitu na maendeleo ya roho (The Evolution of Matter and Development of the Soul)
- 21. Mikutano ya Kiroho huko Paris (The Spiritual Meetings in Paris)
- 22. Aina Mbili za Mwanga (The Two Kinds of Light)
- 23. Shauku ya Kiroho Katika Nchi za Magharibi (Spiritual Aspiration in the West)
- 24. Hotuba Iliyotolewa Katika studio huko Paris (Lecture Given at a Studio in Paris)
- 25. Baha’u’llah (Bahá’u’lláh)
- 26. Mawazo Mazuri Lazima YawekweVitendoni (Good Ideas Must Be Carried into Action)
- 27. Maana Halisi ya Ubatizo kwa Maji na kwa Moto (The True Meaning of Baptism by Water and Fire)
- 28. Mazungumzo Kwenye Klabu ya Umoja wa Wacha Mungu (Discourse at “l’Alliance Spiritualiste”)
- 29. Kukua na kubadilika kwa Roho (The Evolution of the Spirit)
- 30. Haja na Maombi ya ‘Abdu’l-Bahá (The Desires and Prayers of ‘Abdu’l‑Bahá)
- 31. Kuhusu Mwili, Nafsi na Roho (Concerning Body, Soul and Spirit)
- 32. Wabahá’í Lazima Wafanye Kazi kwa Moyo na roho Kuleta Hali Bora Zaidi Duniani (The Bahá’ís Must Work with Heart and Soul to Bring About a Better Condition in the World)
- 33. Juu ya Masingizio (On Calumny)
- 34. Hapawezi kuwa na Furaha ya Kweli na Maendeleo Bila Hali ya Kiroho (There Can Be No True Happiness and Progress without Spirituality)
- 35. Maumivu na Huzuni (Pain and Sorrow)
- 36. Maono Kamili na njema za Binadamu (The Perfect Human Sentiments and Virtues)
- 37. Kutojali kwa Ukatili wa Watu Juu ya Mateso ya jamaa za Kigeni (The Cruel Indifference of People towards the Suffering of Foreign Races)
- 38. Tusivunjike Moyo kwa Ajili ya Uchache Wetu (We Must Not Be Discouraged by the Smallness of Our Numbers)
- 39. Maneno Yaliyosemwa na ‘Abdu’l-Bahá Katika Kanisa la Kasisi Wagner (Foyer de L’ame) Paris (Words Spoken by ‘Abdu’l‑Bahá in Pastor Wagner’s Church (Foyer de l’Ame) in Paris)
- Part Two (Eleven Principles)
- 40. Shirika la Theosophy, Paris (Theosophical Society, Paris)
- 41. Kanuni ya Kwanza Kutafuta Ukweli (The First Principle—Search after Truth)
- 42. Kanuni ya Pili Umoja wa Wanadamu (The Second Principle—The Unity of Mankind)
- 43. Kanuni ya Tatu Dini iwe Chanzo cha Upendo (The Third Principle—Love and Affection)
- 44. Kanuni ya Nne Dini na Sayansi Kukubaliana kwa Uhusiano Kati ya (The Fourth Principle—The Acceptance of the Relation between Religion and Science)
- 45. Kanuni ya Tano Uondoaji wa Chuki (The Fifth Principle—The Abolition of Prejudices)
- 46. Kanuni ya Sita Njia za Kujipatia Maisha (The Sixth Principle—Means of Existence)
- 47. Kanuni ya Saba – Usawa wa Wanadamu (The Seventh Principle—Equality of Men)
- 48. Kanuni ya Nane Amani ya Ulimwengu (The Eighth Principle—Universal Peace)
- 49. Kanuni ya Tisa – Kutoingiliana kwa Dini na Siasa (The Ninth Principle—The Noninterference of Religion with Politics)
- 50. Kanuni ya Kumi Usawa wa Wanawake na Wanaume (The Tenth Principle—Equality of Sex)
- 51. Kanuni ya Kumi na Moja Nguvu ya Roho Mtakatifu (The Eleventh Principle—The Power of the Holy Spirit)
- 52. Hoja Hii Iliyo Kuu na Tukufu (This Great and Glorious Cause)
- 53. Mkutano wa Mwisho (The Last Meeting)
- Part Three
- 54. Hotuba ya ‘Abdu’l-Bahá Katika Nyumba ya Mkutano ya Marafiki, St. Martin’ Lane, London, W.C (Address by ‘Abdu’l‑Bahá at the Friends’ Meeting House, St. Martin’s Lane, London, W.C.)
- 55. Maombi (Sala) (Prayer)
- 56. Uovu (Evil)
- 57. Maendeleo ya Roho (The Progress of the Soul)
- 58. Aina Nne za upendo (The Four Kinds of Love)
- 59. Waraka uliofunuliwa na ‘Abdu’l-Bahá (Tablet Revealed by ‘Abdu’l‑Bahá)